House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
0677370515
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA