House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA 400,000/= X 6
====================
π₯IMEBAKIA 1 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA
===============
SIFA ZAKE
=========
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIR CONDITION KOTE
#HEATER
# FREE Wi - Fi
#GARDEN NZURI
#ULINZI BURE MASAA 24
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
==============
KODI NI 400,000/= X 6
===================
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA DK 6 TU KWA MIGUU UPO NYUMBAN
================
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
==============
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
====================
CONTACT
0742260844
0657384670