House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Kimara Korogwe
Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Km1 Kutoka Mwendokasi, Bajaji 700 Boda 1000
☑️Master Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi Ya Umeme & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Full Ac & Heater, Security, Paving
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz