House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO KIZURI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0715949085
#0782838336