House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(220,000X6),KIMARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453



















