House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO
KODI 180,000X3
UMBALI KUTOKA
MOROGORO ROAD KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
SIFA ZAKE NYUMBA
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA KIBALAZA CHAKE SEHEMU YA KUPIKIA PAZURI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI MASAA 24
NYUMBA IPO NDANI GETI MAZINGIRA MAZURI USALAMA UPO WAKUTOSHA
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI