House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 170000/= X 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE
#CHOO KIZURI CHA CHA NDANI
BEI 170000/= X 3,4
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Itakuwa wazi ijumaa kuona kulipia ruksa endapo mpangaji atakuwepoo
SINA CHENI NAMALIZA BIASHALA HAPA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37