House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #BEI 150K
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO LAKO LA NJE
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU KUSHEA SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
0715949085
0782838336