House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI IPO KIMARA TEMBONI
INAPANGISHWA
APARTMENT YA KISASA INA PANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KILOMITA MOJA TU
USAFILI UPO MWINGI
BAJAJI MIA 500 TU
KWA MIGUU DK 10 TU
SIFA ZA NYUMBA NI
CHUMBA KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA
MNO NA CHOO CHAKE CHA NJE INAJITEGEMEA MAJI DAWASCO YANATOKA CHOONI INA TILES ,JIPSAM
DILISHA KIOO NYUMBA IPO NDANI YA GETI MAZiNGIRA YA MAZURI USALAMA WA KUTOSHA
BEI LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI ILIPWE MIEZI SITA
150,000X6 TU INAJITEGEME CHOO CHAKE MAJI YANATOKA CHOONI
Simu
0679997610
0747997630
Msigwa