House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA  NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA UKISHUKA DK 2 UPO GETINI 
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 
0715949085
0782838336



















