House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI
KODI: 150,000X5.6
NI CHUMBA SEBULE KUBWA SANA
NA CHOO NDANI
JIKO KUBWA SANA LANDANI
UMEME LUKO YAKO
MAJI YAPO YANAFLOW MASAA 24
UMBALI KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
DALA DALA 700
AIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
GAR LINAFIKA ADI NYUMBANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
SIMU 0659336751 WSP 0786085637