House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO AMNA
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA MNA SHARE..
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA
BEI NI 150,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
## UKSHUKA UNAPIGA MLANGO TEKEE...
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA mteja atakayekaa miezi 6 nyumba itafanyiwa ukarabati...
#0710614924
#0688653940