House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 400,000 Γ 6
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Unaweza Ukapitia MBEZI KWA MSUGURI
>SEBULE KUBWA
>CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA Na KABATI LAKE
>JIKO KUBWA la KISASA
>AIR CONDITION KOTE
>HEATER YA MAJI MOTO
>FREE Wi - Fi
>GARDEN NZURI INATENGENEZWA
>ULINZI BURE 24HRS
>PARKING KUBWA
>LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
>MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
>RESERVE TANKS
>GOOD ENVIRONMENT π
πNJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU πΆπΆ
πNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp