House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII SIO YAKUKOSA MTEJA BEBA HELA APARTMENT KALI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI 200,000X4.5.6
UMBALI KM 1,5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000 HADI KWENYE NYUMBA
SIFA ZAKE NYUMBA
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA
KM UWANJA NA JIKO LAKE LA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI
NDUGU MTEJA HII NYUMBA IPO KWENYE MALEKEBISHO MADOGO KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027