House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA STOP OVER
KODI 250,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA OPEN KITCHEN
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 4 KWA MGUU
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
HII YA JUU NDO INAKUWA WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/2/2025
KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
=====÷
CONTACT: 0672 673363