House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA  MWISHO UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5
CHUMBA MASTER KIKUBWA 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA 
MAJI DAWASA
 YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMITA 
TILES 
GYPSUM 
HAPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA 
 KODI NI TZS 15,0000ร6
KWENDA KUONA NYUMBA HII SERVICE CHARGE NI TZS.15000 UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 
CONT
0715949085
0782838336



















