House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO DAKIKA.10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI USAFIRI UPO WA BODA BODA BUKU .
Chumba master
Seble kubwa Sana
Na Jiko lake kubwa
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Umeme Luku yako
Nyumba haipo ndani ya fence
Parking space ipo kubwa sana
Service charge 15,000/=
Kodi ni 230,000/=X"6"
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.3
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















