House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
(200,000 Γ 6) KIMARA TEMBONI
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/04/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA CHENYE CHOO NDANI
#MASTER BEDROOM KUBWA TUU
#HAKUNA SEBULE
#HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= Γ 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300