House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Kimara Mwisho Upande wa Kushoto Ukielekea Mbezi Usafiri ni Bajaji na Boda
Kodi 250000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa
Kitchen with Cabinet
Public toilet ipo Kwa Nje ya wageni
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565