House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ##150K
-------------------------------------------------------------------------
MAHALI ILIPO =KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA
MOROGORO ROAD
DAR ES SALAAM
TANZANIA ๐น๐ฟ
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA
TAX UPO NAULI TSH 700
SIFA ZAKE:
CHUMBA MASTER
SEBULE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PEVING PARKING SPACE KUBWA
------------
KODI NI LAKI 150,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA
MALIPO YA DALALI MWEZI
MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
COLL AND WHATSAP
0788410350 / 0766825473