House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAKUWA WAZI KESHO TR/ 25/4/2025 IJUMAA
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI CHUMBA NA SEBULE CHOO CHA NJE CHAKO MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS,FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU 🏃♂️🔥🛺🚐 NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
What saapp number