House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENTS HIZI ZINAPANGISHWA
LOCATION
ZIPO KIMARA BONYOKWA, UMBALI KUTOKA BONYOKWA MWISHO NI DK 8-10 KUTEMBEA KWA MGUU
SIFA
CHUMBA MASTER BEDROOM
TILES, GYPSAMU, DIRISHA ALMINIAMU UMEME MITA YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
PAVING BLOCK
NYUMBA IPO NDANI YA FENC
BEI
TSH. 140,000 KWA MWEZI. MALIPO MIEZI 6
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177