House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 200K X4 //
🏘️ ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:_
⚡ CHUMBA MASTER
⚡ SEBURE KUBWA SAFI
⚡ JIKO SAFI
⚡ TILES
⚡ GIPSAM
⚡ ALMINIUM
⚡ MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ UMEME SHARE W2.
🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
🇹🇿🏡 KARIBUNI SANA
CALL 0659244543