House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA
#INAPANGISHWA 200,000/=
--------------------------------
📌Mahali:KIMARA TEMBONI (DSM)🇹🇿
Umbali: 1.5Km Boda elf 1000/=
__________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master Kubwa
✔️Sebule Kubwa
✔️ Jiko Zuri Kubwa Sana
✔️ Public Toilet
✔️Nyumba Mpya
✔️Maji Yana flow ndani
___________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)#MITA YAKO
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌Mazingira Tulivu Sana
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 200,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
0713320608
0686334182