House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(230,000X4) KIMARA MWISHO
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 230X4
.
LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
#######
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA
NA TULIVU
.
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
.
KUONA NYUMBA ELF 15
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT
0716223412
0683597453
.