House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 15/05/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI PARKING KUBWA HAKUNA FENSI ILA USALAMA NI ASILIMIA 💯
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 4-5 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI