House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA USILEMBE🛺🛵🏍️🏃🏃🏃🔥🔥🔥
APATIMENT ZIPO KIMARA STOPOVER UPANDE WAKUCHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BARABARA SAFI SANA
DK 15 KWA MGUU
USAFIRI BODABODA/1000
KUTOKA KITUONI
KILOMITA 1👈 KODI NI TSH 160,0000X6
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTA
SEBLE KUBWA JIKO
UMEME KILA APARTMENT
INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YAPO BURE
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258