House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZIPO 2 ILA 1 INAPANGISHWA KODI 250,000 MALIPO MIEZI X6
LOCATION ..KIMARA KOROGWE 1.2KM
AU UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO 1.2KM
BODA 1000
CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
CHOO NDANI
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO NDANI
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
PARKING SPACE GARI 2
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
CONTACT 👇
#0625606710