House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
NI ZA KUINGIA TAR 15/02/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
.
APARTMENT ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI NI BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
.
SERVICHAJ ELFU 10 TU
.
CONTACT
0742260844
0657384670