House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
INAKUA WAZI LEO JIONI KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
.
IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
SIFA ZAKE
==========
NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCK
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI CHOONI NA JIKONI
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT