House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
UMBALI DAKIKA 7 KWA MGUU
NI CHUMBA SEBULE NA 
TOILET PUBLIC YA NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE  NA PEVING BLOCK 
KODI 200,000X3.4.5.6
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419



















