House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KARI SANA NIYAKU HAMIA TUU🏃🏃
INAPANGISHWA KIMARA STOP OVA
KODI NI 150,000X6
KODI NI 150,000X6
IPO STOP OVA UMBALI WA KILOMTA( 1)USAFILI UPO MDA WOTE BODABODA 1000
SIFA ZA NYUMBA
INA CHUMBA SEBULE NA CHOO NDANI KUNA SEHEMU YAJIKO
IPO NDANIYA FENSI PAKI KUBWA SANA
INA TILES, JIPSAM, DILISHA KIOO
UMEME WAWILI
MAJI DAWASA YAPO MUDAWOTE BOMBA LIPO KWAPEMBENI ANGALIZO KWA GALI YACHINI NICHANGAMOTO SIMU 0659336751 WSP 0786085637