House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENTS HIZI ZINAPANGISHWA
KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI..ITAKUWA WAZI TAREHE 1/01/2025
SIFA ZAKE;
>CHUMBA KIKUBWA
>SEBULEE KUBWA
>JIKO NA
>CHOO NDANI
MAJI YANAFLOW NDANI CHOONI NA JIKONI
🛣LOCATION;KIMARA BARUTI
UMBALI KUTOKA BARABARAN DK 12 KWA MGUU..USAFIRI BODABODA 1,000
💰BEI:LAKI 2 X MIEZI 6
PIA KUNA PESA YA TAHADHARI LAKI 2
SERVICE CHARGE ELFU 15
#0625606710