House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  NZURI SANA 
IPO NDANI YA FENCE 
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 300K X6//
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
🏘️ NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
⚡ VYUMBA V3  VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA. 
⚡ SEBURE KUBWA
⚡ DINNING
⚡ JIKO  KUBWA SAFI
⚡ PUBLIC TOILET
⚡ STORE
⚡ TILES/ GIPSUM
⚡ DIRISHA KIOO/ SHARTA
⚡ PARKING SAFI
⚡ INAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI SAFI NA YANAFLO NDANI
🏘️ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI  UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI. 
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
USAFIRI >>>
BAJAJI  TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
*NOTE:: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 04/ 2025, MTEJA ANARUHUSIWA KUJA KUONA NYUMBA KUANZIA SASA, NA KUFANYA MALIPO📌*
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363



















