House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐๏ธAPARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅKODI YAKE 150K X4
#MASTER BEDROOM
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
โNYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA BAADA YA KUFANYIWA MALIPO ITAPIGWA RANGI NDANI โ
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37