House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA 7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE MBAKA GETINI UKANYAGI TOPE.
CHUMBA KIKUBWA
SEBLE KUBWA
JIKO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
KUNA WIFI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 250,000/=×6
SERVICE CHARGE NI 20,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















