House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X4) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
WAHI MAPEMA NDG MTEJA WANGU NIMEISHUSHA MIEZI TU KWA SASA NJOO NA 200X4
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 NAKUENDELEA
LOCATION:KIMARA MWISHO APARTMENT NZUR INAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 1000\/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK (3)
INA CHUMBA CHA KULALA(1) SEBULE KUBWA JIKO ( OPEN KITCHEN )NA PUBLIC TOILET YA NDANI
TELIS GPYSUM SLAINDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLWO
NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0716223413
0683597453