House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


PIGA CM HARAKA UKIIONA HII
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
KODI NI 270,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
NA BRBR NI LAMI YA ZEGE MPKA GETIN
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670