House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6) KIMARÀ KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3 MOJA NDIO IPO WAZI NIMESHUSHA BEI 500,000X6 TUCHANGAMKE
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2VIWILI KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453