House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 250,000/= X 6
________________________________________________________
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
________________________________________________________
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NOTE:- APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================