House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA (STUDIO) INAPANGISHWA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR=CONDITION
#HAKUNA JIKO
#HAKUNA SEBULE
#HII NI MASTER BEDROOM KIKUBWA TUU
#PARKING KUBWA SANA π
#GARDEN NZURI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#WANATAKIWA MABACHELA TUU
PRICE: 250,000 Γ 6
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: Dakika 5 Kutoka Morogoro Road πΆπΆ
ππNJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA π
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp



















