House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(190,000X6)KIMARA BUCHA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 190,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#JIKO LAKE KUBWA
❌HAKUNA SEBULE
#PUBLIC TOILET IPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ULINZI BURE
#MTU WA USAFI WA MAZINGIRA NA GARDEN YUPO NI BURE KABISA ULIPII HATA MIA
#PARKING KUBWA
BEI NI 190,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 1 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0683597453