House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
*APARTMENT NZURI SANA*
*NDANI YA FENCE..*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
๐ฅ *KODI YAKE 80K X6//*
*ILIPWE ELFU THEMANINI KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA*๐
*SIFA ZA NYUMBA*:-๐
*#CHUMBA NA SEBURE*
*#CHOO CHA KWAKO CHA NJE*
*#TILES/ GIPSUM*
*#ALMINIUM*
*#UMEME METER YAKE*
*# MAJI SAFI DAWASA SHARE METER , NA YANAFLO CHOONI*
๐๏ธ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI, PIA UNAWEZA KUINGILIA KWA MSUGURI*
๐๏ธ *UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI "KM2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA. TSH1000/=*
"" *NYUMBA IPO NDANI YA FENCE, USALAMA NI KAMA LUGALO*"
PIGA SIMU 0789049684"
๐๏ธ๐น๐ฟ *KARIBUNI SAANA*๐