House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6
🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
‼️HAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
💰 BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747