House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA MNO BEI NI TSZ 200,000/= X "4"
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
•CHUMBA KIKUBWA MASTER
•SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
•JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
•PUBLIC TOILET 🚻 YAWAGENI
•LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA •INAJITEGEMEA MWENYEWE USHEI
•HAKUNA FENSI ILA USALAMA NI WA KUTOSHA SANA MNO
•PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
BEI NI TSZ 200,000/= X "4"
CONTACT US:07
WHATSAPP:07
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM.2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK.2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000/= UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37