House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 270K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 6-7 KWA MGUU
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
KODI 270,000X4/5/6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
NDUGU MTEJA NYUMBA HII INA PESA YA TAHADHARI YA MWEZI MMOJA
USISAHAU HILO
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
INAKUWA WAZI TAREHE 6/1/2025 KULIPIA LUKSA
=====
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030