House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI MNOOO
.
.
INAPANGISHWA 170X5, 6
.
.
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA DK 10 MPKA 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA TAXS 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN CHOON NA JIKON
.
.
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITANO (5)
.
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
CONTACT
0716223412
0683597453