House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO INAPANGISHWA
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCTION: KIMARA KOROGWE KM 1.8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 IPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
FEN SAFI
CHUMBANI NA SEBLEN
LUKU SABMITA
MAJI YAPO DAWASA
YANAFLOW CHOON
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
HII NYUMBA UKILIPIA 170X6 UNAKUA UMESHALIPIA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA YA NJE
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37