House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







300,000 × 6
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: DK 12 KWA MIGUU 🚶🚶
KODI 300,000 × 6
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR CONDITION
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION