House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 07/01/2025
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI SUBMITER DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 BAADA YA HAPO UTALIPA MIEZI SITA
0715949085
0782838336